sw_tw/bible/kt/righthand.md

475 B

Mkono wa kulia.

Ufafanuzi

Mkono wa kulia humaanisha mahali pa heshima au nguvu ya mkono wa kiume wa mtawala au mtu wa muhimu.

  • Mkono wa kulia ulitumika kama alama ya nguvu na mamlaka.
  • Biblia inaeleza Yesu amekaa mkono wa kulia wa Mungu Baba kama kichwa cha kanisa na mwenye nguvu ya kutawala viumbe vyote.
  • Mkono wa kulia wa mtu ulitumika kuonesha heshima ya pekee unapowekwa kichwani mwa mtu akipewa baraka. (Kama Yakobo alivyombariki Mtoto wa Efraimu, Yusufu)