sw_tw/bible/kt/pastor.md

11 lines
371 B
Markdown

# Mchungaji
## Ufafanuzi
Mchungaji inatumika kama cheo cha mtu ambaye ni kiongozi wa kiroho wa kundi fulani la waamini.
* Katika toleo la Biblia kwa Kingereza neno "mchungaji" limeonekana mara moja katika kitabu cha Waefeso.
* Katika lugha zingine neno mchungaji ni sawa sawa na neno mchungaji wa kundi fulani la wanyama.
* Yesu pia anafananishwa na mchungaji mwema.