sw_tw/bible/kt/pastor.md

371 B

Mchungaji

Ufafanuzi

Mchungaji inatumika kama cheo cha mtu ambaye ni kiongozi wa kiroho wa kundi fulani la waamini.

  • Katika toleo la Biblia kwa Kingereza neno "mchungaji" limeonekana mara moja katika kitabu cha Waefeso.
  • Katika lugha zingine neno mchungaji ni sawa sawa na neno mchungaji wa kundi fulani la wanyama.
  • Yesu pia anafananishwa na mchungaji mwema.