sw_tw/bible/kt/mercy.md

13 lines
494 B
Markdown

# rehema
## Ufafanuzi
Neno "rehema" lina husu kusaidia mtu waliyo na shida, hususani wanapo kuwa chini au hali ngumu.
* Neno "rehema" linaweza maanisha maana yakuto adhibu watu kitu walicho kosea.
* Mtu mwenye nguvu kama mfalme anaelezwa kama mwenye "rehema" anapo tendea watu wema badala ya kuwaua.
* Kuwa mwenye Rehema ina maana ya kusamehe mtu aliye kukosea.
* Tuna onyesha rehema tunapo saidia watu mwenye shida kubwa.
* Mungu ni wa rehema kwetu, na anataka tuwe na rehema kwa wengine.