sw_tw/bible/kt/mercy.md

494 B

rehema

Ufafanuzi

Neno "rehema" lina husu kusaidia mtu waliyo na shida, hususani wanapo kuwa chini au hali ngumu.

  • Neno "rehema" linaweza maanisha maana yakuto adhibu watu kitu walicho kosea.
  • Mtu mwenye nguvu kama mfalme anaelezwa kama mwenye "rehema" anapo tendea watu wema badala ya kuwaua.
  • Kuwa mwenye Rehema ina maana ya kusamehe mtu aliye kukosea.
  • Tuna onyesha rehema tunapo saidia watu mwenye shida kubwa.
  • Mungu ni wa rehema kwetu, na anataka tuwe na rehema kwa wengine.