|
# mtukufu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Neno "mtukufu" la husu ukubwa na utukufu, mara nying katika sifa za mfalme.
|
|
|
|
* Katika Biblia, "mtukufu" mara nyingi la husu ukuu wa Mungu, ambaye ndiye mtawala wa ulimwengu.
|
|
* "mtukufu" ni namna ya kumwita mfalme katika mazungumzo.
|
|
|