sw_tw/bible/kt/majesty.md

258 B

mtukufu

Ufafanuzi

Neno "mtukufu" la husu ukubwa na utukufu, mara nying katika sifa za mfalme.

  • Katika Biblia, "mtukufu" mara nyingi la husu ukuu wa Mungu, ambaye ndiye mtawala wa ulimwengu.
  • "mtukufu" ni namna ya kumwita mfalme katika mazungumzo.