12 lines
628 B
Markdown
12 lines
628 B
Markdown
# Mfalme wa Wayahudi
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Usemi, "Mfalme wa Wayahudi" ni jina linalomaanisha Yesu, Masihi.
|
|
|
|
Mara ya kwanza Biblia inaandika hili jina wakati linapotumika na wanaume wenye hekima waliosafiri kwenda Bethlehemu wakimtafuta mtoto aliye "Mfalme wa Wayahudi."
|
|
Malaika alimfunulia Mariamu kuwa mwanaye, mzawa wa mfalme Daudi, atakuwa mfalme ambaye ufalme wake utadumu milele.
|
|
Kabla Yesu hajasulibishwa, askari Wakirumi walimdhihaki Yesu kwa kumuita "Mfalme wa Wayahudi." JIna hili liliandikwa pia katika kipande cha mbao na kupigwa msumari juu ya msalaba wa Yesu.
|
|
Yesu kweli ni Mfalme wa Wayahudi na mfalme wa viumbe vyote.
|
|
|