11 lines
455 B
Markdown
11 lines
455 B
Markdown
# uovu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Neno "uovu" ni neno ambalo liko karibu kwa maana na neno "dhambi," lakini inaweza kumaanisha zaidi matendo ya ufahamu mabaya au uovu mkubwa.
|
|
|
|
Neno "uovu" ina maana halisi ya kupindisha au kupotosha (sheria). Inamaanisha udhalimu mkubwa.
|
|
Uovu unaweza kuelezwa kama matendo ya kudhuru ya makusudi dhidi ya watu wengine.
|
|
Maana zingine za uovu ni pamoja na "ukaidi" na "kunyima," ambayo yote ni maneno yanayoeleza hali za dhambi mbaya.
|
|
|