sw_tw/bible/kt/covenantfaith.md

12 lines
478 B
Markdown

# Uaminifu wa agano, fadhili, upendo wa kudumu
## Ufafanuzi
Maneno haya hutumika kuelezea Mungu alivyijitoa kikamilivu kutimiza ahadi alizoweka kwa watu wake.
* Mungu amewaahidi Waisraeli kwa kutumia Agano.
* Uaminifu wa agano wa Bwana ni kitendo cha yeye kushika ahadi alizowaahidi watu wake.
* Uaminifu wa Mungu unajionesha kwa rehema zake kwa watu wake.
* Uaminifu ni neno lingine linaloelezea kujitoa kufanya au kusema kilichoahidiwa na kitakachomfaidisha mtu mwingine.