sw_tw/bible/kt/covenantfaith.md

478 B

Uaminifu wa agano, fadhili, upendo wa kudumu

Ufafanuzi

Maneno haya hutumika kuelezea Mungu alivyijitoa kikamilivu kutimiza ahadi alizoweka kwa watu wake.

  • Mungu amewaahidi Waisraeli kwa kutumia Agano.
  • Uaminifu wa agano wa Bwana ni kitendo cha yeye kushika ahadi alizowaahidi watu wake.
  • Uaminifu wa Mungu unajionesha kwa rehema zake kwa watu wake.
  • Uaminifu ni neno lingine linaloelezea kujitoa kufanya au kusema kilichoahidiwa na kitakachomfaidisha mtu mwingine.