sw_tw/bible/kt/centurion.md

12 lines
450 B
Markdown

# Jemadari
## Ufafanuzi
Jemadari ni afisa wa jeshi la Rumi aliyekuwa na kundi la askari 100 juni ya amri yake.
* Hii pia inaweza kutafsiriwa kama "kiongozi wa watu mia" au "kiongozi wa jeshi."
* Jemadari mmoja wa Rumi alikwenda kwa Yesu akamwomba amponye mtumishi wake.
* Jemadari aliyekuwa akihusika kumsulubisha Yesu alishangazwa kwa namna ambavyo Yesu alikufa.
* Mungu alimtuma jemadari kwa Petro ili Petro amuelezee habari njema juu ya Yesu.