sw_tw/bible/kt/centurion.md

450 B

Jemadari

Ufafanuzi

Jemadari ni afisa wa jeshi la Rumi aliyekuwa na kundi la askari 100 juni ya amri yake.

  • Hii pia inaweza kutafsiriwa kama "kiongozi wa watu mia" au "kiongozi wa jeshi."
  • Jemadari mmoja wa Rumi alikwenda kwa Yesu akamwomba amponye mtumishi wake.
  • Jemadari aliyekuwa akihusika kumsulubisha Yesu alishangazwa kwa namna ambavyo Yesu alikufa.
  • Mungu alimtuma jemadari kwa Petro ili Petro amuelezee habari njema juu ya Yesu.