sw_tw/bible/kt/atonementlid.md

12 lines
631 B
Markdown

# Mfuniko wa upatanisho
## Ufafanuzi
Mfuniko wa upatanisho ulikuwa mfuniko wa dhahabu uliotumika kufunika juu ya sanduku la agano.
* Mfuniko wa agano ulikuwa na sentimeta 115 urefu na 70 upana.
* Juu ya mfuniko wa upatanisho kulikuwa na Makerubi wawili wa dhahabu wakiwa wameshika na mabawa yao.
* Yahweh alisema atakutana na Waisraeli juu ya mfuniko wa upatanisho chini ya mbawa za makerubi. Kuhani mkuu pekee ndiye aluyeruhusiwa kufanya hivyo na kuwawakilisha watu.
* Mara nyingine Mfuniko wa upatanisho ulijulikana kama kiti cha rehema kwa sababu Mungu alishuka na kuonesha rehema zake kwa watu wenye dhambi na kuwasamehe.