sw_tw/bible/kt/adoption.md

10 lines
390 B
Markdown

# Kuasili
## Ufafanuzi
Neno "kuasili" ni hatua za kisheria za mtoto kuwa na wazazi fulani ambao sio wazazi wake wa kumzaa.
* Biblia imetumia "kuasili" kuelezea namna ambavyo Mungu alivyosababisha watu kuwa sehemu ya familia yake, kuwafanya watu wawe watoto wake wa kiroho.
* Watoto walioasiliwa pamoja na waamini ni warithi pamoja na Yesu Kristo wakiwa na haki zote kama wana wa Mungu.