sw_tw/bible/kt/adoption.md

390 B

Kuasili

Ufafanuzi

Neno "kuasili" ni hatua za kisheria za mtoto kuwa na wazazi fulani ambao sio wazazi wake wa kumzaa.

  • Biblia imetumia "kuasili" kuelezea namna ambavyo Mungu alivyosababisha watu kuwa sehemu ya familia yake, kuwafanya watu wawe watoto wake wa kiroho.
  • Watoto walioasiliwa pamoja na waamini ni warithi pamoja na Yesu Kristo wakiwa na haki zote kama wana wa Mungu.