sw_tw/bible/other/wordoftruth.md

337 B

Neno la kweli

Ufafanuzi

"Neno la kweli" ni njia nyingine ya kuelezea neno la Mungu au mafundisho yake.

  • Neno la kweli la Mungu ni pamoja na kilakitu ambacho Mungu anafundisha watu wake kuhusu yeye, uumbaji wake na mipango yake ya ukumbozi kupitia Yesu.
  • Neno la kweli linasisitiza kuwa anachotuambia Mungu ni kweli na hakika.