sw_tw/bible/other/witness.md

486 B

shahidi, Shahidi

Ufafanuzi

Shahidi ni mtu ambaye amepata uzoefu binafsi wa kitu kilichotokea. Maranyingi shahidi ni mtu anayetoa ushahidi wa jambo analijua kuwa ni kweli. Shahidi pia aneweza kuwa mtu aliyekuwepo pale na kuona kilichotokea.

  • Kushuhudia kitu ni kuona kikitokea.
  • Katika kesi shahidi hutoa ushahidi.
  • Shahidi anatazamiwa kusema ukweli wa kile kilichotokea na sio uongo.
  • Shahidi atakayesema uongo juu ya kilichotokea ushahidi wake unaitwa "ushahidi wauongo."