sw_tw/bible/other/watch.md

544 B

Angalia, Mlinzi

Ufafanuzi

"Angalia" inamaanisha kuwa kutazama kitu kwa ukaribu na kwa makini. "Mlinzi" ni mtu ambaye kazi yake ni kuulinda mji kwa kuangalia kwa makini vyote vinavyomzunguka kama kuna hatari yoyote kwa watu wa mji ule.

  • Amri ya "angalia maisha yako na mafundisho kwa makini" inamaanisha kuwa ishi kwa makini na usiamini mafundisho ya uongo.
  • "Angalia" ni onyo la kuwa makini ili kukwepa hatari au ushawishi wa hatari.
  • "Angalia" inamaana ya kuwa makini dhidi ya dhambi na uovu.
  • Neno lingine la mlinzi ni mlindaji.