sw_tw/bible/other/vine.md

441 B

Mzabibu

Ufafanuzi

Mzabibu ni mmea unaopandwa na kukua kwa kutambaa ardhini au kwa kusimamisghwa juu ya mtu au kitu kingine. Katika Biblia neno mzabibu ni tunda pekee lililizalisha zabibu na kutoa mvinyo.

  • Matawi ya zabibu yanashikiliwa na shina kuu ambalo huyapa maji na virutubisho vingine ili iweze kukua.
  • Yesu alijiita mzabibu na akawaita watu wake matawi. Kwa mukhtadha huu mzabibu waweza kutafsiriwa kama shina la mzabibu.