sw_tw/bible/other/unrighteous.md

313 B

si wa haki,

Ufafanuzi

Neno "si wa haki" ina maana ya wenye dhambi asiye na maadili.

  • Haya maneno yana maana ya kuishi kwa namna inayo kosea mfundisho ya Mungu na amri.
  • Watu ambao si wa haki hawana maadili katika fikra zao na matendo.
  • Wakati mwingine "asiye wa haki" ueleza watu wasiyo mwamini Yesu.