sw_tw/bible/other/turn.md

15 lines
713 B
Markdown

# geuka, geuka kando, geuka nyuma
## Ufafanuzi
"Kugeuka" kuna maana ya kubadili mwelekeo wa mwili au kusababisha kitu kingine kubadilisha muelekeo.
* Neno "geuka" pia la weza "kugeuka nyuma" kuangalia nyuma au kuelekea mwelekeo mwingine.
* "Kugeuka nyuma" au "geuka mbali" kuna maana ya "kurudi nyuma" au "kwenda mbali" au "kusababisha kwenda mbali."
* "Kugeuka mbali na" ina weza maanisha "kusimama" kutofanya kitu au kumkataa mtu.
* "kugeuka kuelekea" mtu ina maana ya kumuangalia huyo mtu.
* "Kugeuka na kuondoka" au "kugeuza mgongo wake kwa kuondoka" ina maana ya "kwenda mbali."
* "Kugeuka na kurudia" ina maana ya "kuanza kufanya kitu tena."
* "Kugeuka mbali kutoka" ina maana ya "kuacha kufanya kitu."