sw_tw/bible/other/trumpet.md

416 B

tarumbeta

Ufafanuzi

Neno "tarumbeta" la eleza chombo cha kutoa mziki au kuita watu pamoka kwa mkutano au kikao.

  • Tarumbeta lilitumika na chuma, kombe, au pembe la mnyama.
  • Matarumbeta yalipigwa kuita watu kuja pamoja kwa pambano, na kukusanyika kwa Waisraeli.
  • Kitabu cha Ufunuo kinaeleza tukio la mwisho wa nyakati ambapo malaika walipenga matarumbeta kuhashiria kumwagwa kwa ghadhabu ya Mungu duniani.