sw_tw/bible/other/tremble.md

401 B

tetemeka

Ufafanuzi

Neno "tetemeka" lina maana ya kutikisika kwa hofu au msongamano wa mawazo.

  • Hili utumika kifumbo kumaanisha "kuogopa sana"
  • Wakati mwingine neno "tetemeka" la eleza ardhi kutikisika kwasababu ya kelele kubwa.
  • Biblia ina sema katika uwepo wa Bwana dunia itatetemeka. Hii inaweza maanisha kwamba watu wa dunia watatikisika kwa hofu ya Mungu au dunia yenyewe itatikisika.