599 B
599 B
mpagao
Ufafanuzi
Mpagao ni hali ya fikra ambayo mtu yupo macho lakini hatambui yanayo mzunguka kwasababu anaona na kupitia vitu tofauti.
- Katika Agano Jipya, hili neno linaeleza hali ya kimuujiza ya fikra amabyo Petro na Paulo walikuwa nayo Mungu alipo zungumza nao kwenye maono.
- Katika kila hali, Petro na Paulo walikuwa katika maombi walipo patwa na mpagao.
- Mungu ndiye aliye sababisha wawe katika mpagao.
- Neno "mpagao" ni neno tofauti na "maono" au "ndoto" na itafsiriwe tofauti.
- Msemo "kuanguka katika mpagao" ina maana "kuwa katika hali ya usingizi ghafla" wakati bado macho.