636 B
636 B
mwiba, mbaruti
Ufafanuzi
Vicha vya miba na mbaruti ni majani matawi yaliyo chongoka au maua. Haya majani haya zalishi matunda au chochote kinacho tumika.
- "Mwiba" ni mgumu, umechongoka katika tawi au jani. "Kichaka cha mwiba" ni aina ya mti mdogo mwenye miba mingi kwenye matawi yake.
- "Mbaruti" ni mmea wenye majani yalichongoka. Mara nyingi majani yake ni ya zambarau.
- Mwiba na mbaruti uota haraka na uweza shababisha mimea ya karibu kutostawi. Hii ni sura ya jinsi dhambi ina mzuia mtu kutozalisha matunda mazuri ya kiroho.
- Taji lililo tengenzwa na matawi ya miba liliwekwa kwenye kichwa cha Yesu kabla ya kusulubiwa.