sw_tw/bible/other/tentofmeeting.md

502 B

hema la kukutania

Ufafanuzi

Neno "hema la kukutania" la husu hema ambalo lilikuwa la muda mfupi Mungu alipo kutana na Musa kabla ya maskani kujengwa.

  • Hema la kukutania lilikuwa nje ya kambi ya Waisraeli.
  • Wakati Musa alipoenda kwenye hema ya kukutania kukutana na Mungu, nguzo ya wingu ilisimama katika mwingilio wa hema kama ishara ya uwepo wa Mungu hapo.
  • Baada ya Waisraeli kujenga maskani, hema ya muda mfupi haiku hitajika tena na neno "hema la kukutania" lilitumika kueleza maskani.