622 B
622 B
la kumi, zaka
Ufafanuzi
Maneno "la kumi" na "zaka" yanaeleza "asilimia ya kumi" au "moja-kati-ya -sehemu- ya-kumi" ya pesa, mazao, mifugo, au mali za mtu anazo mpa Mungu.
- Katika Agano la Kale, Mungu aliwaelekeza Waisraeli kueka kando asilimia kumi ya mali zao kutoa kama sadaka ya shukurani kwake.
- Hii sadaka ilitumika kufadhili kabila la Walawi wa Israeli waliyo tumikia Waisraeli kama makuhani na watunzi wa maskani na baadae, hekalu.
- Katika Agano Jipya, Mungu haitaji asilimia kumi, lakini na waelekeza waamini kutoa kwa furaha na kwa hiari kusaidia watu wenye mahitaji na kufadhili huduma ya Kikristo.