sw_tw/bible/other/submit.md

307 B

nyenyekea, kwa unyenyekevu

Ufafanuzi

Neno "nyenyekea" mara nyingi umanisha kumueka mtu chini

  • Biblia uwaambia waamini wa Yesu kunyenyekea kwa Mungu na mamlaka nyingine katika maisha yao.
  • Maelekezo "kunyenyekea ninyi kwa ninyi" ina maana ya kukubali marekebisho na kuangalia mahitaji ya wengine.