sw_tw/bible/other/stumblingblock.md

473 B

jiwe la kujikwaa

Ufafanuzi

Neno "jiwe la kijikwaa" la eleza kitu cha kimwili kinacho msababisha mtu kijikwaa na kuanguka.

  • Katika Agano Jipya, hili neno lilieleza fimbo au kitu kingine kilicho mtega mnyama aliye kanyaga.
  • Kifumbo jiwe la kijikwaa ni kitu chochote kinacho sababisha mtu kushindwa kimwili au kiroho.
  • Mara nyingi ni dhambi ambayo ni jiwe la kujikwaa kwa mtu.
  • Wakati mwingine Mungu anaweka jiwe la kujikwaa njiani kwa mtu anaye hasi dhidi yake.