sw_tw/bible/other/stumble.md

316 B

jikwaa

Ufafanuzi

Neno "jikwaa" lina maana ya "karibu kuanguka" wakati wakutembea au kukimbia. Kujikwaa juu ya kitu.

  • Kifumbo, "kujikwaa" yaweza maanisha "kufanya dhambi" au "kuyumba" katika kuamini.
  • Hili neno laweza elezea kuyumba au kuonyesha udhahifu wakati wa pambano au kipindi cha mateso au adhabu.