sw_tw/bible/other/strife.md

261 B

ugomvi

Ufafanuzi

Neno "ugomvi" la eleza malumbano ya kimwili au kihisia kati ya watu.

  • Mtu anaye sababisha ugomvi anafanya vitu vinavyo sababisha kutoelewana.
  • Ugomvi wakati mwingine una hashiria kuwa hisia kali zinahusishwa, kama hasira au uchungu.