sw_tw/bible/other/strength.md

327 B

uwezo

Ufafanuzi

Neno "uwezo" la husu hali ya kuwa na nguvu kimwili, kihisia, au kiroho.

  • "Uwezo" yaweza elezea kuweza kusimama dhidi ya aina ya nguvu.
  • Mtu ana uwezo wa nia kama anaweza kutoanguka kwenye jaribu.
  • Mwandishi mmoja wa Zaburi anamuita Yahweh uwezo wake, inayo maanisha Mungu ana msaidia kuwa na nguvu.