sw_tw/bible/other/snow.md

568 B

theluji

Ufafanuzi

Neno "theluji" ya husu chembe nyeupe za maji yaliyo ganda yanayo anguka kutoka mawinguni sehemu ambazo hali ya hewa ni ya baridi.

  • Theluji ya anguka sehemu ya muinuko Israeli, lakini inaweza isibaki muda wote kwenye ardhi kabla ya kuyayuka. Vilele vya mlima mara nyingi ubakiwa na theluji kwa muda mrefu. Mfano mmoja wa Biblia ni ule wa Mlima Lebanoni.
  • Kitu ambacho ni cheupe mara nyingi kinalinganishwa na rangi ya theluji, kama vazi au nywele za Yesu zinavyo elezewa "nyeupe kama theluji."
  • Weupe wa theluji pia una ashiria kuwa safi.