sw_tw/bible/other/snare.md

591 B

mtego

Ufafanuzi

Neno mtego lina maana ya kifaa kinacho tumika kudaka wanyama na kuwazuia wasitoroke. Katika Biblia, hili neno linatumika kifumbo kueleza kuhusu jinsi dhambi na jaribu ni mitego inayo wanasa watu na kuwadhuru.

  • "mtego" una kamba au waya unao vuta kwa ghafla pindi mnyama anapo ingia ndani yake, na kutega miguu yake.
  • Mara nyingi mtego unafichwa ili kwamba mawindo yake ya naswe ghafla.
  • Maneno "tega mtego" ina maana kuanda mtego tayari kunasa kitu.
  • "kuanguka kwenye mtego" ina eleza kuanguka kwenye shimo refu lililo chimbwa na kufichwa kuweza kumdaka mnyama.