sw_tw/bible/other/sheep.md

534 B

kondoo, kondoo dume, kondoo jike

Ufafanuzi

"kondoo" ni mnyama wa saizi ya kati wa miguu minne mwenye manyoya mwili mzima.

  • Waisraeli mara kadhaa walitumia kondoo kwa dhabihu, hususani dume na kondoo mdogo.
  • Watu ula nyama ya kondoo na kutumia manyoya yake kufanya nguo na vitu vingine.
  • Kondoo ni wa piole, dhahifu, na waoga. Wanashawishika haraka kupotea. Wanaitaji mchungaji kuwaongoza, kuwalinda, na kuwapa chakula, maji, na hifadhi.
  • Katika Biblia, watu wanalinganishwa na kondoo waliyo na Mungu kama mchungaji wao.