sw_tw/bible/other/shadow.md

591 B

Kivuli

Ufafanuzi

Neno "kivuli" lina maana ya giza linalo sababishwa na kitu kinacho ziba mwanga. Pia lina maana kadhaa ya mafumbo.

  • "Kivuli cha mauti" ina maana kwamba kifo kipo karibu, kama vile kivuli kinavyo hashiria uwepo kitu.
  • Mara nyingi katika Biblia, maisha ya mwanadamu yana linganishwa na kivuli, ambacho hakidumu muda mrefu sana na hakina kiini.
  • Wakati mwingine, "kivuli" lina tumika kama neno lingine la "giza."
  • Biblia inaongea kuhusu kujificha au kulindwa ndani ya kivuli cha mabawa ya Mungu au mikono. Hii ni picha ya kulindwa na kufichwa kutoka kwenye hatari.