sw_tw/bible/other/sex.md

426 B

kulala na, kuwa na mahusiano na, fanya mapenzi

Ufafanuzi

Katika Biblia, haya maneno ni tafsida yanayo eleza kufanya ngono.

  • "kulala na" mtu ni namna maarufu ya kueleza kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
  • Katika Agano la Kale, "Wimbo wa Sulemani," tafsiri ya ULB inatumia "kufanya mapenzi" kutafsiri neno "mapenzi," ambalo katika muktadha la eleza mahusiano ya kingono. Hii ina husiano na msemo, "kufanya mapenzi na."