694 B
694 B
tuma, kutuma nje, kutumwa
Ufafanuzi
"Kutuma" ni kusababisha mtu au kitu kwenda sehemu. "Kutuma nje" mtu ni kumwambia huyu mtu kwenda na kufanya japo au shughuli.
- Mara nyingi mtu anaye "tumwa nje" amechaguliwa kufanya kazi maalumu.
- Maneno kama "tuma mvua" au "tuma janga" ina maana "kusababisha ...kuja." Aina hii ya msemo utumika kumuelezea Mungu akisababisha vitu kutokea.
- Neno "tuma" pia la tumika katika msemo "tuma neno" au "tuma ujumbe" inayo maanisha kumpa mtu ujumbe ampe mtu mwingine.
- "Kumtuma" mtu "na" inaweza maanisha "kumpa" hicho kitu "kwa" mtu mwingine.
- Yesu mara nyingi utumia maneno "yeye aliye nituma" kumuelezea Mungu Baba aliye "mtu" duniani kuokoa watu.