sw_tw/bible/other/seek.md

14 lines
698 B
Markdown

# tafuta
## Ufafanuzi
Neno "tafuta" la maanisha kutafuta kitu au mtu. Inaweza kuwa na maana ya "jaribu kwa bidii" au "tia juhudi" kufanya kitu.
* "tafuta" au "kuangalia" fursa ina maana ya "kujaribu kutafuta muda" kufanya kitu muhimu
* "kumtafuta Yahweh" ina maana ya "kutumia muda na uweza kupata kumjua Yahweh na kujifunza kumtii."
* "kutafuta ulinzi" ina maana ya "kujaribu kumpata mtu au sehemu itakayo kulinda na hatari."
* "kutafuta haki" ina maana ya "kufanya juhudi kuona kwamba watu wana tendewa sawa."
* "kutafuta ukweli" ina maana ya "kufanya juhudi kujua nini ni ukweli."
* "kutafuta upendeleo" ina maana ya "kujaribu kupata upendeleo" au "kufanya vitu kumsababisha mtu akusaidie."