sw_tw/bible/other/sacred.md

715 B

takatifu

Ufafanuzi

Neno "takatifu" la elezea kitu kinacho husu kumuabudu Mungu au wapagani wanao abudu miungu ya uongo.

  • Katika Agano la Kale, mara nyingi neno "takatifu" la tumika kueleza nguzo za mawe na vitu vingine vinavyo tumika katika kuabudu miungu ya uongo. Hii yaweza tafsiriwa kama kama "kidini"
  • "nyimbo Takatifu" au "miziki takatifu" ya husu mziki unao imbwa au kuchezwa kwa utukufu wa Mungu. Hii yaweza tafsiriwa kama "mziki wa kumuabudu Yaheweh" au "nyimbo zinazo muabudu Yahweh."
  • Msemo "majukumu takatifu" ya husu "majukumu ya kidini" au "mila" ambazo kuhani ana tenda kuongoza watu katika kumuabudu Mungu. Yaweza pia husu mila zinazo tendwa na kuhani mpagani kumuabudu mungu wa uongo.