555 B
555 B
Mtawala, watawala, tawala
Ufafanuzi
"Mtawala" ni mtu mwenye mamlaka juu ya watu wengine kama vile kiongozi wa dini, ufalme au nchi.
- Katika agano la kale Mfalme alitambulika kama Mtawala. Sentensi zingine zimesema "walimchagua yeye kuwa mtawala juu ya Israeli."
- Mungu anazungumzwa kama mtawala mkuu anayetawala juu ya watawala wote.
- Katika agano jipya kiongozi wa sinagogo aliitwa mtawala.
- Aina nyingine ya mtawala katika agano jipya mi "gavana."
- Kutegemeana na mukhtadha mtawala inaweza kutafsiriwa kama kiongozi au mtu mwenye mamlaka.