458 B
458 B
Kuharibu
Ufafanuzi
Kuharibu kitu ni hali ya kuangamiza, kukiteketeza au kukifanya kisiwe na maana tena.
- Nabii Zefania anazungumza juu ya siku ya ghadhabu ya Mungu kama "siku ya kuharibu" ambapo ulimwengu utahukumiwa na kuadhibiwa.
- Katika kitabu cha Mithali kinasema kuharibu na kuteketeza kunawasubiri wale wasio na Mungu.
- Kutegemeana na mukhtadha kuharibu yaweza kutafsiriwa kama "kuangamiza" au "kufanya isifae" au "kuvunja" au "uharibifu."