sw_tw/bible/other/report.md

323 B

Ripoti

Ufafanuzi

Ripoti inamaana kuwaambia watu kuhusu kitu kilichotokea kutoa habari juu ya tukio hilo. Ripoti yaweza kutamkwa au kuandikwa.

  • "Ripoti" yaweza kutafsiriwa kama "kusema" au "kuelezea kwa kina."
  • Sentensi inayosema "usiripoti hili kwa mtu yeyote" inamaana kuwa "usiseme jambo hili kwa mtu yeyote."