sw_tw/bible/other/rejoice.md

449 B

Kufurani

Ufafanuzi

Kufurahi inamaana ya kuwa na furaha.

  • Neno hili limetumika kuelezea hali ya kuwa na furaha sana juu ya mambo mazuri aliyoyafanya Mungu.
  • Hii inaweza kutafsiriwa kama "kuwa na furaha sana."
  • Mariamu aliposema kuwa "nafsi yangu inafurahi ndani ya Mungu mwokozi wangu" alimaanisha kuwa "Mungu mwokozi wangu amenifanya kuwa na furaha" au " ninasikia furaha kwa sababu ya kitu ambacho Mungu mwokozi wangu amefanya kwangu."