sw_tw/bible/other/quench.md

603 B

Kuzima

Ufafanuzi

"Kuzima" inamaana kutoa au kusimamisha kitu ambacho kinatakiwa kikamilike.

  • Neno hili linatumika kwenye mukhtadha wa kuzima kiu na inamaana ya kusababisha kiu isimame kwa kunywa kitu.
  • Pia yaweza kutumika kama kutoa nje ya moto.
  • Kiu na moto vyote huzimwa na maji.
  • Paulo anatumia neno kuzima akiwa anamaanisha kuwa waamini "wasimzimishe Roho mtakatifu." Hii inamaana kuwa wasiwazuie watu kumruhuru Roho mtakatifu kuzalisha matunda yake na zawadi ndani yao. Kumzimisha Roho mtakatifu inamaana kumzuia Roho mtakatifu asidhihirishe nguvu zake na kufanya kazi ndani ya watu.