sw_tw/bible/other/push.md

370 B

Kusukuma

Ufafanuzi

Hiki ni kitendo cha kuhamisha kitu kimwili kwa kutumia nguvu. Kuna maana mbali mbali za neno hili

  • "Kusukuma mbali" inamaana ya "kukataa" au "kukataa kusaidia."
  • "Kusukumachini" inamaana ya "kunyanyasa" au "kutesa." Pia yaweza kuwa namaana ya kusukuma kitu kwenda chini.
  • "Kusukuma mbele" inamaana ya kuvumilia au kuendelea kufanya jambo.