sw_tw/bible/other/prey.md

371 B

Mawindo, kwa mawindo ya

Ufafanuzi

"Mawindo" ni kitu kinachowindwa hasa mnyama anayetumika kwa ajili ya chakula.

  • Katika lugha ya picha mawindo anaweza kuwa mtu anayefanyiwa ukatili au kunyanyaswa na mtu mwenye nguvu.
  • Mawindo ya watu ni kitendo cha kuwanyanyasa watu au kuwaibia vitu walivyonavyo.
  • Pia mawindo yanaweza kutafsiriwa kama "mnyama anayewindwa"