534 B
534 B
Kutoboa
Ufafanuzi
"Kutoboa" ni kitendo cha kuchoma kitu kwa kutumia kitu chenye ncha. Pia hutumika kuelezea tendo la kusababisha maumivu makali ya kihisia kwa mtu.
- Askari walimtoboa Yesu ubavuni alipokuwa msalabani.
- Katika nyakati za Biblia mtumwa aliyeachiwa huru alitobolewa sikio kama ishara kuwa alichaguliwa kuendelea kufanya kazi kwa Bwana wake.
- Simeoni anazungumza kwa lugha ya picha kumwambia maria kuwa upanga utatoboa moyo wake akimaanisha kuwa atapitia maumivu makali kwa kitakachotokea kwa Yesu mtoto wake.