sw_tw/bible/other/perverse.md

731 B

uongo, ukaidi, kuipotosha

Ufafanuzi

Neno "kilichopotoka" linatumika kumuelezea mtu au tendo fulani ambalo linapotosha kimaadili. Neno "ukaidi" linamaana ya tabia ya kikaidi". Kupotosha kitu inamaana ya kugeuza jambo toka kwenye usahihi wake au uzuri wake.

  • Mtu au kitu ambacho kimepotoka kimegeuzwa toka kwenye kilicho kizuri au sahihi.
  • Katika Biblia Waisraeli walifanya kwa ukaidi walipomkosea Mungu. Walifanya hivi kwa kuabudu miungu ya uongo.
  • Tendo lolote lililo kinyume na tabia za Mungu linaelezewa kama lililopotoka.
  • "Hotuba iliyopotoka" inaweza kutafsiriwa kama "kuzungumza kwa namna mbaya.
  • "Matendo ya ukaidi" inaweza kutafsiriwa kama "kutenda matendo mabaya" au "kufanya mambo kinyume na amri za Mungu."